Wasambazaji wa maudhui asili na wazalishaji wa mapato ya vyombo vya habari

Independent Content Services (ICS) ni mtaalamu wa maudhui na vyombo vya habari vya dijitali wa kimataifa. Tunaunda na kusambaza mamia ya hadithi kila siku, makala maalum na onyesho la awali, saa nyingi za huduma za moja kwa moja na zilizorekodiwa, video, utafutaji soko, tafsiri na mengine mengi katika zaidi ya lugha 60. Huku tukiwa na mamia ya waandishi na watangazaji wataalamu walio tayari kutoa huduma kwenye himaya nyingi tofauti, tunatoa maudhui ya mada mbalimbali na kwa sekta zote za vyombo vya habari, yakiwasilishwa katika muundo unaomfaa mteja.