Nafasi za ajira

ICS ni kampuni inayokua na tunazidi kuwahitaji wafanyakazi wapya wenye vipaji kujiunga na timu zetu. Iwe una mapenzi ya utangazaji au unataka taaluma katika uandishi wa habari, ICS panaweza kuwa mahali pa kuendeleza taaluma yako.

Tunahitaji haswa waandishi wa lugha nyingi, watangazaji na wasomaji habari ili kutusaidia kuendeleza uwepo wetu katika nchi mbalimbali.

Ikiwa una ujuzi ambao unadhani unafaa, basi tututumie Wasifukazi na barua yenye maelezo mafupi kukuhusu.

Pia tuna nafasi za ajira katika nyadhifa zifuatazo:

Kwa sasa hatuna nafasi za ajira, lakini tunaajiri kila wakati. Tafadhali angalia tena baadaye.